Thursday, April 26, 2012

Lil Kim Ft. Nicki Minaj – Everywhere We Go

Gonga uone nani mkali kati ya nicki minaj na lil' kim
Lil Kim Ft. Nicki Minaj – Everywhere We Go

Sunday, April 22, 2012

BELLE 9 - AMERUDI.mp3 / DJ Charzjoe

Gonga hapa uisikie ngoma hii
BELLE 9 - AMERUDI.

NICKI MINAJ ATANGAZA KUJITOA TWITTER BAADA YA KUSIKILIZA SAUTI KUTOKA KICHWANI MWAKE

Mkali wa hiphop kutoka kundi la Young money, Nicki minaj, ametangaza kujitoa kwenye mtandao wa kijamii wa twitter. Alipoulizwa sababu ya kujitoa kwake alisema kuwa amesikiliza sauti kutoka kichwani mwake. 
'A voice in my head told me to delete Twitter, and that's what I did," alieleza minaj kwenye "The Graham Norton Show."
Alipo ulizwa kuwa mashabiki wake takribani milioni 11 wam follow nani Nicki amesema "I hope they'll wait for me,"
Of course kila kitu ni maamuzi ya m2 binafsi, so i hope amesikiliza moyo wake. Big up Minaj, but 2takumis saana upande huu. 

Wednesday, April 18, 2012

AT - Unatamani {Official Video} Produced BY Kwetu Studio

Vifuu tundu Ya A.T yafanya kweli tuzo za kili 2012, C9 na Kwetu studio zahusika

Mkali wa miduarisho kutoka ZNZ, A.T amefanikiwa kupata tunzo kupitia wmbo wake wa vifuu tundu ukiwa ni wimbo bora wenye vionjo vya kiafrika.Ofkooouz mchizi alistahili. Big up mwana.

Tuesday, April 10, 2012

Steven Kanumba - NITAINUA MACHO YANGU.mp3

 Steven Kanumba - NITAINUA MACHO YANGU.mp3
Ni moja ya nyimbo alizowahi kuimba marehemu Steven Charles Kanumba.

MAZISHI YA MSANII STEVEN KANUMBA KATIKA PICHA

JENEZA LA MAREHEMU KANUMBA LIKIWA LIMEBEBWA KUINGIA MAENEO YA LEADERS CLUB KWAAJILI YA KUUAGA

MAREHEMU KANUMBA AKIWEKWA KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE

JENEZA LA MAREHEMU KANUMBA LIKIWA LIMEBEBWA KUELEKEA MAKABURI YA KINONDONI

JENEZA LA MAREHEMU KANUMBA LIKIWA LIMEWEKWA MBELE

MH. JOSEPH MBILINYI A.K.A SUGU AKIINGIA ENEO LA MSIBANI

WEMA SEPETU AKIKIMBIZWA HOSPITALI BAADA YA KUZIMIA MSIBANI

Steven Kanumba (kauli yake ya mwisho) [HD]‏