Monday, July 2, 2012

MTANGAZAJI WA CNN, ANDERSON COOPER AJITANGAZA KUWA NI SHOGA

Mtangazaji wa vipindi vya LIVE wa CNN  Anderson Cooper leo ameweka wazi kuwa yeye ni shoga na ataendelea kuwa shoga.
Amebainisha hayo kupitia e-mail ndefu aliyomtumia mwandishi wa Daily Beast, Andrew Sullivan, ambapo amesema kuwa muda wote alikuwa anaandika na kutangaza mambo ya wengine na sasa umefika wakati wa yeye kuandikwa na kutangazwa.

Amesema kuwa alikuwa hayupo comfortable kukaa na siri hiyo moyoni.Sehemu ya email hiyo ilisema : "The fact is, I'm gay, always have been, always will be, and I couldn't be any more happy, comfortable with myself and proud," ...... "I am also blessed far beyond having a great career. ... I love, and I am loved."Alisema Cooper.
 Stori hii imetolewa hapa

CATRINA, THE COMING SUPER STAR IN TZ,AFUNIKA ARUSHA,AWA MC SHUJAA FIESTA 2012

CATRINA MWANAMUZIKI MKALI MWENYE KIPAJI CHA KUIMBA KUTOKA MKOA WA ARUSHA,BAADA YA MUDA MFUPI ATAKUWA MOJA KATI YA WANAMUZIKI BORA.video yake inaitwa KARIBU YANGU imerekodiwa na kwetu studios.na nimshindi wa MC SHUJAA wa FIESTA 2012 arusha.
Stay tuned.

JAY-Z,KANYE WEST,BEYONCE WA 'SHINE' TUNZO ZA BET 2012

Tunzo za BET zimefanyika usiku wa jana jumapili ikiwakutanisha wakali kibao wa burudani,lakini kubwa zaidi ni show kali zilizo pigwa na wakali kadhaa wakiwemo kanye west,Nicki minaj,2chainz,Rick Ross na kundi lake la Maybach Music,melanie fiona na wakali wengine kibao.
Katika usiku huu wa tunzo za BET zimekuwa nzuri zaidi kwa Kanye West,Beyonce na Jay-Z kwani wame shine ile mbaya na imefurahisha zaidi pale iliposemekana Mtoto wa Beyonce na Jay-Z aitwaye BlueIvy  carter kuwa amepata toy mpya za kuchezea,’wakimaanisha zile tunzo ndio toys’.
Show iliongozwa vizuri na actor mkali Samuel L. Jackson.

 Soma list ya washindi hapa chini:

Best Group: The Throne (Kanye West & Jay-Z)
Best Actor: Kevin Hart
Best New Artist: Big Sean
Best Male R&B Artist: Chris Brown
Best Collaboration: Wale ft. Miguel
Best Gospel: Yolanda Adams
Best Female R&B Artist: Beyoncé
Best Female Hip-Hop Artist: Nicki Minaj
Lifetime Achievement Award: Maze featuring Frankie Beverly
Video Of The Year: “Otis,” The Throne (Kanye West & Jay-Z)
BET Humanitarian Award: Rev. Al Sharpton
Viewers’ Choice Award: Mindless Behavior
Video Director Of The Year: BeyoncĂ© & Alan Ferguson
AOL Fandemonium Award: Chris Brown

Fid Q ft Yvonne Mwale - Sihitaji Marafiki(official video)

Sunday, July 1, 2012

JOHN CENA ATIMIZA MIAKA 10 NDANI YA WWE,AONGELEA MAISHA YAKE

Mkali wa mieleka, John Cena atimiza miaka kumi tangu aanze mchezo huo tarehe 27 June 2002. Kwa kipindi chote hiko cha miaka 10 Cena amekuwa gumzo kwa kila rika kutokana na umahiri wake katika mchezo huo. Amekuwa ni kipenzi na kivutio cha wengi.
Akielezea maisha yake ya mieleka, Cena anaikumbuka mechi yake ya kwanza iliyofanyika June 27 2002 dhidi ya Kurt Angle ambapo anasema kuwa alipata kiraruraru ingawa kwake ndo siku pekee historia ilipoanza andikwa.Kuhusu mafanikio Cena amesema kuwa kuendesha maisha kupitia mchezo huo ndo mafanikio yake. Amesema kuwa hakutarajia hata siku moja kuwa angefikia level aliyofikia leo.

CHRIS BROWN AM DISS DRAKE KWENYE FREE STYLE,AKITUMIA BEAT YA 'I DONT LIKE'

click here to listen The Game & Chris Brown - I Dont Like Rem.. 
 Baada ya ugomvi mkubwa kati ya Chris Brown na Drake uliotokea wiki mbili zilizopita kwenye night club na ambao hadi leo bado chanzo halisi cha ugomvi huo haujafahamika, ingawa unahusishwa na kumgombania mdada Rihanna, Leo hii Chris brown akiwa na The Game wameachia freestyle ambayo ime m-diss Drake moja kwa moja. Baadhi ya mistari hiyo ni kama hii hapa
 " fuck niggaa,that's that shit i dont like
,They throwing bottles/I'm throwing models, just cause i give bitch long pipe."
 kama vp download hii freestyle uisikie ambayo imechanwa na chris brown akiwa naThe Game kupitia beat ya 'Chief keef' ya ngoma  iitwayo 'I dont like'.pia waweza ingia hapa usome mashairi yote ya ngoma hii http://www.youtube.com/watch?v=tYjcYIG6q9Q