Mwenyekiti wa Jumuiya ya madaktari nchini, Dk Stephen Ulimboka amelazwa
katika hospital ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuokotwa katika pori la
Pande nje kidogo ya jiji akiwa taaban.Inasemekana Dk Ulimboka alitekwa
jana na watu wasiojulikana.
Hii stori ni kwa mujibu wa
Mwananchi communication na picha ni kwa mujibu wa blog ya
leotainment.
angalizo kwa Dr watamgomea mwenzao maana sasa shida kwao vipi hapo ? sio wao tu wajue shida haina mwenyewe, wamtibu mwenzao
ReplyDeleteyap,what goes around comes around
ReplyDeleteila jamani huu waliomfanyia mzee huyu sio utu kabisa
ReplyDeletethey have done not in aright way ila what goes around comes around
ReplyDeletedoctor ni mwananchi kama mwananchi mwingine na anahaki ya kugoma kufanya kazi anapoona malipo sio sahihi, ila kwasababu amegoma nd utake kumuua hiyo sio sawa, na hata kawa wat goes around comes around, how many doctors r they going to be killed or attacked to pay for the daeth of poeple who died during the strick? thats not the soln at all.
ReplyDeleteni kweli kabisa, kama ni malipizi sio kwenye maisha ya mtu,hakustahili adhabu aliyopata
ReplyDeletekwani wagonjwa ambao wana hali mbaya na hawapati matibabu kwa sababu ya strike ambayo ni unlawful mwisho wake ni nini? kuhangaika na kufa, Doctors rudini kazini na mdai haki zenu mkiwa kazini japo hata kama si kwa asilimia 100 ili wenye matatizo makubwa wasife.
ReplyDeletehivi kwani mnahisi nani kafanya hiyo ishu kwa dokta?
ReplyDeleteNi nani aliyefanya unyama huu? tatizo ni kwamba serikali ya Tanzania huwa inarekebisha mambo baada ya migomo bila watu kugoma madai yao hayazingatiwi haraka. kumuua dk Ulimboka si suluhisho la mgomo wa madaktari.
ReplyDeletehalafu inasemekana hakuwa mwajiriwa wa serikali,sasa nae aliingiaje kwenye mgomo?
ReplyDeletekikwete na serikali yako wote mafisadi
ReplyDeletepole sana doctor ulimboka mungu akusaidie upone haraka
ReplyDelete