Ni habari ya kusikitisha ya kumpoteza msanii pekee ambaye alikuwa wa kwanza kudumisha utamaduni wa kabila lake kwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya. Kikubwa ni kwa wasanii mliobaki kuiga mfano wa Mr. Ebbo. Mkataa kwao ni mtumwa. Achaneni na umagharibi.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.