LIL' KIM KURUDI UPYA KWENYE GEMU, AMTAMBULISHA TIFFANY FOX KUNDINI
Mwanadada Lil' Kim 'Queen Bee'usiku wa kesho jumatano kupitia 'rapfix live' mtv, anatarajiwa kumtambulisha Tiffany Fox katika timu yake mpya ambayo inatarajiwa kupiga kazi pamoja. Katika show hiyo Kim atakuwa na mkali mwingine mkongwe Talib Kweli.
Hii ni katika kuwahakikishia fans wake kuwa anakuja upya.
Fuatilia show hiyo usiku wa kesho Mtv.
0 comments:
Post a Comment