Sunday, December 23, 2012

TREY SONGZ AKAMATWA KWA KUMUUMIZA MWANAMKE KWA HELA

Mkali  Tremaine Neverson, maarufu kama Trey Songz amekamatwa na kufikishwa polisi kwa kosa la kumuumiza kwa kutumia hela mwanamke mmoja wakati akirusha hela kwa mashabiki kwa staili ya kinyamwezi 'Make it rain'. Kwamujibu wa TMZ  Songz alifanya hivyo alipokuwa kwenye party ya kuiachia albam yake mpya siku ya tarehe 21 August. Wakati akirusha hela zimeenda kumgusa machoni mdada huyo na kumsababishia maumivu hasahasa jicho la kushoto,hatimae kwenda kumfungulia mashtaka. Kesi imerushwa hadi Mwezi wa pili.

1 comments: