Hatimaye serikali ya tanzania kupitia wizara ya kilimo na chakula imetoa ajira 3600 za maafisa ugani na kuwasambaza wilaya zote za Tannzania.
Waajiriwa hao wanapaswa kuripoti kwenye vituo vyao ndani ya muda uliotajwa,kushindwa kufanya hivyo umejitoa mwenyewe na nafasi watapewa ambao wamekosa nafasi.