Wednesday, March 28, 2012

Shaa - Siri ya penzi (Official Video High Quality)

Saturday, March 24, 2012

NIKKI MBISHI ASEMA BONTA HANA LOLOTE

Mkali wa Freestyle Nikki Mbishi ametangaza rasmi bifu na Bonta na Weusi kwa kusema kuwa hawana wanacho rap kwenye track zao.
Amefunguka hayo Kupitia kipindi cha Bongo flava cha DJ fetty clouds fm leo.
Huyu ni msanii wa 3 katika mwaka huu kutangaza Bifu hadharani. Wengine waliofanya hivyo ni Kala P wa kikosi cha mizinga ambaye alitangaza bifu live na Rappers kutoka arusha alipokuwa ana perform Maisha club. Pia Izzo B alitangaza bifu na Roma mkatoliki wakati ana perform club.

Swali langu ni kwamba, Je, Bifu zinajenga hiphop au zinaua?
NIKKI MBISHI
BONTA