Sunday, September 25, 2011

MIMS KUTUA BONGO, P.FUNK KUHUSIKA

Mkali kutoka state, Music Is My Savior ( MIMS) kutua bongo rasmi kwaajili ya kugonga collabo na wa Tanza,stori zilizopo ni kwamba Bongo Records chini ya P.funk kuhusika zaidi juu ya hilo.
Karibu sn bongo.

KAMPENI NA MTUTU

Hebu mcheki ismail aden rage akiwa kwenye kampeni igunga na bastola kiunoni.
Hii ndo bongo ya sasa.
Hii kali

Saturday, September 24, 2011

Wednesday, September 21, 2011

Introducing Video Production Studio

The Chapter one plus under DJ Charzjoe is now introducing  the Video and audio studio. Please stay tuned.