Sunday, September 25, 2011

MIMS KUTUA BONGO, P.FUNK KUHUSIKA

Mkali kutoka state, Music Is My Savior ( MIMS) kutua bongo rasmi kwaajili ya kugonga collabo na wa Tanza,stori zilizopo ni kwamba Bongo Records chini ya P.funk kuhusika zaidi juu ya hilo.
Karibu sn bongo.

0 comments:

Post a Comment