Sunday, October 16, 2011

BELLA KOMBO: CHAGUO LA WENGI BSS 2ND CHANCE ALIYESTAHILI TUZO NA AKANYIMWA

Shindano la BSS Second chance limeisha kwa kuwashangaza wengi kwa kutupwa nafasi ya mwisho mwanadada pekee ambaye alionesha kipaji kikubwa Bella kombo.

Maoni ya wengi yanaonesha mashaka ya maamuzi ya mwisho. Anyway, hao ndo majaji ambao wanasema wao ndo wenye asilimia 60 za maamuzi na 40 za watazamaji, sasa kama ndo hivyo si wangemaliza zote tu.

Hata hivyo experience inaonesha kuwa wanaopewaga tuzo BSS huwa hawadumu hewani. Mtu kama Kala Jeremiah bado ana shine kwenye game,yuko wapi J4 na waliofuata?

0 comments:

Post a Comment