No woman no cry rmx-(Mixed by DJ Charzjoe.mp3
Saturday, November 19, 2011
No woman no cry rmx-(Mixed by DJ Charzjoe.mp3 - Hulk Share - Easy way to share your files
download this free then Listen to exclusive remix. It's so fresh so clean. u'll like it
No woman no cry rmx-(Mixed by DJ Charzjoe.mp3
No woman no cry rmx-(Mixed by DJ Charzjoe.mp3
Saturday, November 12, 2011
MITUTU NDIO SULUHISHO?????
Sometime unapofikiria unaweza kukosa jibu kwamba ni jitihada za kuwakomboa wananchi au kuwakandamiza, hususan pale kwenye masuala ambayo viongozi wanadai ni ya maendeleo. Angalia chanzo cha haya matatizo then pima na njia zinazo tumika kuyatatua. Hili lililotokea mbeya linafanana na lile lililotokea Mwanza hivi karibuni. Na matukio yote mawili yamesababishwa na mtu mmoja "MR. Kandoro " na sera zake za safisha jiji. Kafanya mwanza yametokea maafa, sasa kayaleta mbeya maafa mengine. Ni sera nzuri lakini mheshimiwa anakosa approach zenye ushirikiano na wananchi wake. Maoni tu.
Subscribe to:
Posts (Atom)