Lil Kim Ft. Nicki Minaj – Everywhere We Go
Thursday, April 26, 2012
Monday, April 23, 2012
Sunday, April 22, 2012
NICKI MINAJ ATANGAZA KUJITOA TWITTER BAADA YA KUSIKILIZA SAUTI KUTOKA KICHWANI MWAKE
Mkali wa hiphop kutoka kundi la Young money, Nicki minaj, ametangaza kujitoa kwenye mtandao wa kijamii wa twitter. Alipoulizwa sababu ya kujitoa kwake alisema kuwa amesikiliza sauti kutoka kichwani mwake.
'A voice in my head told me to delete Twitter, and that's what I did," alieleza minaj kwenye "The Graham Norton Show."
Alipo ulizwa kuwa mashabiki wake takribani milioni 11 wam follow nani Nicki amesema "I hope they'll wait for me,"
Of course kila kitu ni maamuzi ya m2 binafsi, so i hope amesikiliza moyo wake. Big up Minaj, but 2takumis saana upande huu.

Thursday, April 19, 2012
Wednesday, April 18, 2012
Vifuu tundu Ya A.T yafanya kweli tuzo za kili 2012, C9 na Kwetu studio zahusika
Mkali wa miduarisho kutoka ZNZ, A.T amefanikiwa kupata tunzo kupitia wmbo wake wa vifuu tundu ukiwa ni wimbo bora wenye vionjo vya kiafrika.Ofkooouz mchizi alistahili. Big up mwana.
Tuesday, April 10, 2012
Steven Kanumba - NITAINUA MACHO YANGU.mp3
Steven Kanumba - NITAINUA MACHO YANGU.mp3
Ni moja ya nyimbo alizowahi kuimba marehemu Steven Charles Kanumba.
Ni moja ya nyimbo alizowahi kuimba marehemu Steven Charles Kanumba.
MAZISHI YA MSANII STEVEN KANUMBA KATIKA PICHA
JENEZA LA MAREHEMU KANUMBA LIKIWA LIMEBEBWA KUINGIA MAENEO YA LEADERS CLUB KWAAJILI YA KUUAGA |
MAREHEMU KANUMBA AKIWEKWA KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE |
JENEZA LA MAREHEMU KANUMBA LIKIWA LIMEBEBWA KUELEKEA MAKABURI YA KINONDONI |
JENEZA LA MAREHEMU KANUMBA LIKIWA LIMEWEKWA MBELE |
MH. JOSEPH MBILINYI A.K.A SUGU AKIINGIA ENEO LA MSIBANI |
WEMA SEPETU AKIKIMBIZWA HOSPITALI BAADA YA KUZIMIA MSIBANI |
Monday, April 9, 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)