Sunday, April 22, 2012

NICKI MINAJ ATANGAZA KUJITOA TWITTER BAADA YA KUSIKILIZA SAUTI KUTOKA KICHWANI MWAKE

Mkali wa hiphop kutoka kundi la Young money, Nicki minaj, ametangaza kujitoa kwenye mtandao wa kijamii wa twitter. Alipoulizwa sababu ya kujitoa kwake alisema kuwa amesikiliza sauti kutoka kichwani mwake. 
'A voice in my head told me to delete Twitter, and that's what I did," alieleza minaj kwenye "The Graham Norton Show."
Alipo ulizwa kuwa mashabiki wake takribani milioni 11 wam follow nani Nicki amesema "I hope they'll wait for me,"
Of course kila kitu ni maamuzi ya m2 binafsi, so i hope amesikiliza moyo wake. Big up Minaj, but 2takumis saana upande huu. 

0 comments:

Post a Comment