Friday, May 3, 2013

R.I.P Chris "Mac Daddy" Kelly wa KRISS KROSS

Chris Smith, kushoto, na Chris Kelly wa kundi la Kris Kross  1992. Kelly amefariki May 1 akiwa na umri wa miaka 34. Chanzo cha kifo bado hakija julikana lakini inahisiwa kuwa ni matumizi ya madawa ya kulevya.

0 comments:

Post a Comment