Monday, August 29, 2011

WACHUJA NAFAKA (JIMWAGE)

wachuja nafaka na ujio mpya.

Thursday, August 25, 2011

Young Jeezy aachia hewani “The Real Is Back 2″ Cover

Young Jeezy ameiachi hewani 'the artwork' kwaajili ya mixtape yake  mpya na DJ Drama iitwayo The Real Is Back2. Msikilizie mchizi anarudi.

LIL WAYNE 'WEEEZY' am DISS Jay-z

Weeezy ameonesha kumdiss Jay-z kutokana na mistari yake kuonekana kuwa ni  jibu la Mistari ya Jay z.
Kimsingi kutoka kwenye mistari ya Jigga kwenye H*A*M,Watch The Throne single, ilikuwa ikisemeka hivi“I’m like really half a billi, nigga/Really you got baby money/Keep it real with niggas/Niggas ain’t got my lady money,” Na Weezy maneno yake yako hivi “Talkin’ ’bout baby money, I got your baby money/Kidnap your bitch, get that ‘How much you love your lady?’ money,” yote kwa yote inaonekana kuwa ni mbio za kusaka mauzo,au sio.
Lil wayne aahidi kuiachia album iliyokuwa ikisubiriwa vikali na fans wake iitwayo The Carter IV wiki ijayo august 29. Usikose kopi kama we mjanja.


Official Erick Sermon Ft: Rick Ross " Music Video" AIN'T ME" DIR.KRAZE


Hapa Erick Sermon kamshirikisha The Big boss, Roossay,Rick Ross. Ingawa haonekani kwenye video lakini ametupia mistari kwenye verse ya tatu. Ni boonge ya ngoma ambayo imetambariwa kwenye beat ambayo ilifanya vizuri kwenye ngoma ya Hit'em up ya 2pac. Enjoy baab

Lil Wayne Feat. Jadakiss & Drake - It's Good


Ni ngoma kali ya Wiiiizy baaaaby akiwa na wa kali Jada Kiss na Drake kutoka kwenye project yake mpya ya The Carter IV. Sikiliza mzigo huo,then tupia comment zako pale kati. Raaaaaaaaaaaa

Friday, August 19, 2011

Speak With Your Body - AY Feat Romeo And Lamyia [NEW AUGUST 2011]

Gonga hapo usikilize na uione ngoma mpya ya Ambwene Yesaya na Romeo. Ni bonge ya ngoma kimtoni zaid. kifupi ni kimataifa zaidi. Na kwa taarifa tu ni kwamba mchizi A.Y kwasasa yupo chini ya Master P. Upo hapo

Friday, August 12, 2011

News - The Chapter One Plus

News - The Chapter One Plus,
Get more e-news right here.

Game Criticizes "Watch The Throne," Jokes About Jay-Z's Fertility


Game rates "Watch the Throne" and says he doesn't hate Jay-Z before joking about how "Beyonce ain't pregnant."
Compton, California's Game recently voiced his opinion on Watch the Throne, the collaborative project between Kanye West and Jay-Z and took a few shots at Jigga. In the interview with Jenny Boom Boom, the R.E.D. emcee gave credit to Kanye, called himself "The Bi-Polar Bear" and said he didn't exactly hate Jay-Z, though he made a joke about his fertility.
"It's a good 7," he said of Watch the Throne. "Well, you know 6 points went to Kanye."

Lil Wayne's "Tha Carter IV" Gets Official Track List, Features Nas, Bun B

The long-awaited fourth entry in Lil Wayne's Tha Carter series finally has a track list.
Aside from known cuts like "6 Foot 7 Foot" featuring Cory Gunz and "She Will" featuring Drake, a plethora of other artists join Weezy on his latest.
Although Nas, Shyne and Jadakiss were reported to be on the same cut, Amazon.co.uk lists two posse cuts that split the emcees up. "It's Good," featuring Drake and Jadakiss, and "Outro," featuring Bun B, Nas, Shyne and Busta Rhymes. The aforementioned collaboration with underground staple Tech N9ne also appears to have made the cut.
The track list is as follows:
1. Intro
2. Blunt Blowin
3. MegaMan
4. 6 Foot 7 Foot (Feat. Cory Gunz)
5. Nightmares Of The Bottom
6. She Will (Feat. Drake)
7. How To Hate (Feat. T-Pain)
8. Interlude (Feat. Tech N9ne)
9. John (Feat. Rick Ross)
10. Abortion
11. So Special (Feat. John Legend)
12. How To Love
13. President Carter
14. Its Good (Feat. Drake & Jadakiss)
15. Outro (Feat. Bun B, Nas, Shyne & Busta Rhymes)

Thursday, August 11, 2011

Serikali kuajiri wahitimu 5,700 wa kilimo

SERIKALI inatarajia kuajiri wahitimu wa kilimo 5,770 wa kada mbalimbali katika mwaka huu wa fedha ulioanza Julai mosi ili kukabiliana na upungufu uliopo nchini.

Kwa mujibu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, ajira za wahitimu hao zitatekelezwa na Serikali kupitia Wizara hiyo na ile ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi).

Halmashauri za wilaya, miji na manispaa zilizo chini ya tamisemi ndizo zitakazoajiri jumla ya wataalamu wa kilimo 8,500 ifikapo mwaka 2013.

Hayo yalisemwa jana na Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Rasilimaliwatu katika Idara ya Utawala na Maendeleo ya Rasilimaliwatu katika Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Mary Temba wakati akiwasilisha katika darasa la wakulima katika Maonesho ya Nanenane, kitaifa.

Temba aliwasilisha mada kuhusu Utaratibu wa ajira kwa wahitimu wa kada ya kilimo, kwenye maonesho hayo yanayofika kilele chake leo kwenye Viwanja vya Nzuguni mjini hapa.

Alisema ni azma ya Serikali kuhakikisha huduma za ushauri wa kilimo bora, umwagiliaji na ushirika zinawafikia wakulima /wafugaji katika kila kijiji, kata na tarafa kwa kuwa na wataalamu wa fani hizo karibu na wakulima.

Alisema katika wahitimu hao 5,770, walihitimu jumla ya wataalamu 4,550 katika ngazi ya Cheti na Diploma. Wahitimu katika ngazi ya Shahada katika fani ya kilimo walikuwa 785 na wa fani ya ushirika walikuwa 435.

“Wahitimu wote hawa wataajiriwa katika mwaka huu wa 2011/12 mara tu utaratibu wa kuwapanga utakapokamilika mapema Septemba baada ya kumalizika kwa vikao vya Bunge la Bajeti,” alisema Kaimu Mkurugenzi Msaidizi huyo.

Aliwataja waajiri watakaopangiwa kuwaajiri wahitimu hao kuwa ni Wizara yenyewe ya Kilimo, Chakula na Ushirika; Wizara nyingine za sekta ya kilimo, Halmashauri zote za wilaya, Jiji na manispaa pamoja na taasisi na bodi za mazao zilizo chini ya Wizara hiyo.

Alisema ni matarajio ya Wizara kwamba wahitimu wote wataitikia mwito wa Serikali wa kuwapatia nafasi hizo za ajira, na hivyo kila mmoja kuripoti pale atakapopangiwa na kutumia utaalamu wake kuwashauri vyema wakulima wa Tanzania kuhusu kilimo bora.