Thursday, August 25, 2011

LIL WAYNE 'WEEEZY' am DISS Jay-z

Weeezy ameonesha kumdiss Jay-z kutokana na mistari yake kuonekana kuwa ni  jibu la Mistari ya Jay z.
Kimsingi kutoka kwenye mistari ya Jigga kwenye H*A*M,Watch The Throne single, ilikuwa ikisemeka hivi“I’m like really half a billi, nigga/Really you got baby money/Keep it real with niggas/Niggas ain’t got my lady money,” Na Weezy maneno yake yako hivi “Talkin’ ’bout baby money, I got your baby money/Kidnap your bitch, get that ‘How much you love your lady?’ money,” yote kwa yote inaonekana kuwa ni mbio za kusaka mauzo,au sio.
Lil wayne aahidi kuiachia album iliyokuwa ikisubiriwa vikali na fans wake iitwayo The Carter IV wiki ijayo august 29. Usikose kopi kama we mjanja.


0 comments:

Post a Comment