Ngoma kali conscious kama kawa.
Sunday, February 26, 2012
Bonta - Matusi (DJ Charzjoe)
Bonta - Matusi (Hassbaby).mp3 - Hulk Share - Music Distribution Platform
Ngoma kali conscious kama kawa.
Ngoma kali conscious kama kawa.
Saturday, February 25, 2012
SUGU ATANGAZA KUSHINDA HARAKATI DHIDI YA RUGE
Muasisi wa muziki wa bongo hiphop na Mbunge wa mbeya mjini Mheshimiwa Joseph Mbilinyi A.KA SUGU ametangaza kushinda vita yake na mkurugenzi wa Clouds fm Mr. Ruge Mutahaba mara tu baada kutoka katika kikao cha usuluhisho uliokuwa chini ya Waziri Nchimbi na Mbunge Mh. Tundu Lisu.
Hapa chini ni tamko lake Sugu alivyotoa kupitia ukurasa wake wa facebook.:
TAARIFA:KWANZA POLENI NA SAMAHANINI KWA HALI YA SINTOFAHAMU ILIYOTOKEA LEO KUTOKANA NA TAARIFA ZA GHAFLA ZA USULUHISHI KATI YETU NA RUGE/CLOUDS FM,NI KUTOKANA NA UNYETI WA ISSUE YENYEWE ILIBIDI TUFANYE HIVYO KWA NIA NJEMA KABISA...KWANZA NAOMBA TUJIPONGEZE KWA KUWA TUKIO LA LEO NI USHINDI KWA VINEGA KWA MAANA KWAMBA MADAI YETU YOTE YA MSINGI NDIO YALIKUWA MSINGI WA MAJADILIANO NA RUGE AMEKUBALI KU...YATEKELEZA YOTE...KUANZIA SUALA LA STUDIO YA RAIS KURUDISHWA KWA BASATA ILI IWE YA WASANII WOTE,PIA T.F.U IJIKABIDHI KWA CHAMA HALALI CHA WASANII YAANI T.U.M.A KAMA AMBAVYO TULIKUWA TUNADAI NA MPAKA ISSUE ZA WASANII KUNYANYASWA NA KUBANIWA NA PIA SUALA LA MALIPO HAFIFU VYOTE VIMEJADILIWA NA KUKUBALIWA KWA UTEKELEZAJI...HAIKUWA KAZI RAHISI,KWANZA ILIANZA KWA WAO KUMPIGIA MWENYEKITI WANGU MBOWE KUTAKA TUKAE CHINI,AMBAPO KAMANDA MBOWE ALINISHAURI TUKAE NAO CHINI KAMA KWELI WANA NIA YA KUYAMALIZA...BAADAYE WAKAMPIGIA MR SHIGONGO AMBAYE NI WAZI KUWA NI KATI YA WATU WANGU WA KARIBU NAYE BAADA YA KUONGEA NA MR. KUSAGA TU ALINIPIGIA NA KUNISHAURI HIVYO HIVYO...NA KAMA HAIKUTOSHA WAKALIFIKISHA HILI SUALA KWENYE KAMATI YA BUNGE AMBAYO ILINITAKA NIIPE MAELEZO YA KIINI CHA MGOGORO NA NIKAFANYA HIVYO AMBAPO PIA BAADA YA KUNIELEWA WAKASHAURI NIKAE NAO CHINI...NA HATIMAYE SUALA HILI LIKAISHIA MIKONONI MWA WAZIRI NCHIMBI PAMOJA NA MHE. TUNDU LISSU(MP) KUWA WAPATANISHI WETU...WAZIRI NCHIMBI AKAANZA KWA KUMUITA RUGE DODOMA NA ALIKUJA TUKAKAA KWA HATUA YA KWANZA NA HATIMAYE LEO TUKAKAA TENA MAKAO MAKUU YA WIZARA YA UTAMADUNI CHINI YA DR NCHIMBI NA MHE TUNDU LISSU NA HATIMAYE TUKAFIKIA HATUA HII YA LEO...VITA YETU ILIKUWA NA HOJA HATUKUWA TUNAPIGANA TU KWA CHUKI BINAFSI KAMA BAADHI YA WATU WALIVYOKUWA WANAJARIBU KUIWEKA,KWAHIYO KAMA HOJA ZETU ZIMEELEWEKA KWA SASA TUNATAKIWA KUSHUKURU NA KUFURAHIA...LAKINI NAOMBA NIWAHAKIKISHIE MISIMAMO IKO PALE PALE NA NIMEWAWEKA WAZI KUWA ANTI-VIRUS ITAENDELEA KUWEPO ILI KUENDELEA KU-SCAN VIRUS WENGINE KAMA MAMENEJA MASOKO NA WENGINE WATAKAOJITOKEZA KWANI NCHI INAPOSHINDA VITA AU HATA KUFIKIA TU MAKUBALIANO YA AMANI NA NCHI ADUI YAKE HAINA MAANA NCHI HIYO INAVUNJA JESHI LAKE...
ASANTENI SANA...( MR.II SUGU KWENYE WALL YAKE)

Tuesday, February 21, 2012
UCHAGUE FAMOUS -JAY MOE FT. P.FUNK KAMA WMBO BORA WA KUSHIRIKIANA
Chagua Famous - Jay moe ft. P.funk uwe Wimbo bora wa kushirikiana katika tunzo za kili music 2012.
Andika Z1 tuma kwenda 15747. Anastahili.
Andika Z1 tuma kwenda 15747. Anastahili.
MPIGIE KURA BEN POL WIMBO BORA R&B
Muwezeshe Ben Pol kuchukua tuzo ya Wimbo bora wa r&b kupitia wimbo wake My number one fan kwa kuandika H1 Kisha tuma kwenda 15747. Anastahili.
Saturday, February 18, 2012
MPIGIE KURA FID-Q BEST HIP HOP ARTIST
Muwezeshe Fid-Q kupata tunzo ya Msanii bora wa Hiphop Tanzania katika KILI MUSIC AWARDS 2012. Ili kumuwezesha Andika namba yake ya ushiriki ambayo ni P5 kwenye meseji kisha itume kwenda namba 15747. Fanya hivyo mara nyingi uwezavyo kwani Mchizi anastahili.
Wednesday, February 15, 2012
THIS IS KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS NOMINEES 2012 IN CASE YOU DIDN'T GET
Piga kura |
Wanaotaka kutuma kupitia posta, andika jina lako, anwani na utume fomu kutoka magazetini kwa njia ya posta kwenda:
KTMA 2012
C/o INNOVEX
P.O. Box 75297
Dar es Salaam, Tanzania.
Ukipenda, tuma kura yako kwa barua pepe kwenda ktma@innovexdc.com, Kamati iliyo huru itakusanya na kuhakikisha kura zote zinahesabiwa. Mpigie kura msanii wako sasa!
:: Mtumbuizaji Bora wa Kike ::
| :: Mtumbuizaji Bora wa Kiume ::
| :: Mwimbaji Bora wa Kiume ::
| |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
:: Mwimbaji Bora wa Kike ::
| :: Wimbo Bora wa Taarabu ::
| :: Wimbo Bora wa Mwaka ::
| |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
:: Wimbo Bora wa Kiswahili (Bendi) ::
| :: Wimbo Bora wa R&B ::
| :: Wimbo Bora wa Hip Hop ::
| |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
:: Wimbo Bora wa Reggae ::
| :: Wimbo Bora wa Ragga/Dance Hall ::
| :: Rapa Bora wa Mwaka (Bendi) ::
| |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
:: Msanii Bora wa Hip Hop ::
| :: Wimbo Bora wa Afrika Mashariki ::
| :: Mtunzi Bora wa Mwaka ::
| |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
:: Mtayarishaji Bora wa Nyimbo ::
| :: Video Bora ya Muziki ya Mwaka ::
| :: Wimbo Bora wa Afro Pop ::
| |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
:: Msanii Bora anayechipukia ::
| :: Wimbo Bora wa Kushirikiana ::
| :: Wimbo Bora wa Asili ya Kitanzania ::
| |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
:: Wimbo Bora wa Zouk/Rhumba ::
|
BOBBY BROWN YUPO KWENYE HARD TIME KUHUSIANA NA KIFO CHA WHITNEY HOUSTON
Mkali Bobby Brown amejikuta yupo kwenye wakati mgumu kufuatia kifo cha mpenzi wake wa zamani Whitney Houston. Hii inatokana na ndugu wa marehemu kumkataa Bobby kufika kwenye msiba huo. Yote hayo yametokea kutokana na fikra zilizopo kuwa Bobby ndo Chanzo cha kifo cha Whitney.
Lakini Boby bado ana struggle kuweka mambo sawa kwani amekiri kuwa alimpenda Whitney.
R.I.P. Whitney.
Tuesday, February 14, 2012
THE REASONS WHY I HATE VALENTINE DAY
Valentine's Day is terrible for two kinds of people -- those who are single and those who aren't.
For single people, the day is a disappointing reminder they don't have that "special someone" in their life. Not a fun feeling -- believe me, I've been there.
But personally I think it's worse for people in a relationship. Single people can choose to ignore
Valentine's Day. However, if you're in a relationship, the last thing you want to do is ignore Valentine's Day -- believe me, I've been there, too.
What may have started out as a holiday intended to bring couples together has been transformed into a commercial spectacle peddled to us by florists, greeting card companies, jewelry stores and makers of stuffed animals.
My issue is not with being romantic or expressing your feelings to the person you love. My issue is being required to do so on February 14. This date has zero connection to us. Each year on February 14 we are in essence commanded to be "romantic."
Sunday, February 12, 2012
R.I.P. Whitney Houston
Mungu Ailaze Pema roho ya mkali Whitney, Amekutwa amefariki bafuni hotelini na bado chanzo cha kifo hakija fahamika bado.
We will Miss u.
We will Miss u.
Subscribe to:
Posts (Atom)