Wednesday, February 15, 2012

BOBBY BROWN YUPO KWENYE HARD TIME KUHUSIANA NA KIFO CHA WHITNEY HOUSTON


Mkali Bobby Brown amejikuta yupo kwenye wakati mgumu kufuatia kifo cha mpenzi wake wa zamani Whitney Houston. Hii inatokana na ndugu wa marehemu kumkataa Bobby kufika kwenye msiba huo. Yote hayo yametokea kutokana na fikra zilizopo kuwa Bobby ndo Chanzo cha kifo cha Whitney.

Lakini Boby bado ana struggle kuweka mambo sawa kwani amekiri kuwa alimpenda Whitney.
R.I.P. Whitney.

0 comments:

Post a Comment