Sunday, February 26, 2012

Bonta - Matusi (DJ Charzjoe)

Bonta - Matusi (Hassbaby).mp3 - Hulk Share - Music Distribution Platform
Ngoma kali conscious kama kawa.

Saturday, February 25, 2012

SUGU ATANGAZA KUSHINDA HARAKATI DHIDI YA RUGE

Muasisi wa muziki wa bongo hiphop na Mbunge wa mbeya mjini Mheshimiwa Joseph Mbilinyi A.KA SUGU ametangaza kushinda vita yake na mkurugenzi wa Clouds fm Mr. Ruge Mutahaba mara tu baada kutoka katika kikao cha usuluhisho uliokuwa chini ya Waziri Nchimbi na Mbunge Mh. Tundu Lisu.

Hapa chini ni tamko lake Sugu  alivyotoa kupitia ukurasa wake wa facebook.:

TAARIFA:KWANZA POLENI NA SAMAHANINI KWA HALI YA SINTOFAHAMU ILIYOTOKEA LEO KUTOKANA NA TAARIFA ZA GHAFLA ZA USULUHISHI KATI YETU NA RUGE/CLOUDS FM,NI KUTOKANA NA UNYETI WA ISSUE YENYEWE ILIBIDI TUFANYE HIVYO KWA NIA NJEMA KABISA...KWANZA NAOMBA TUJIPONGEZE KWA KUWA TUKIO LA LEO NI USHINDI KWA VINEGA KWA MAANA KWAMBA MADAI YETU YOTE YA MSINGI NDIO YALIKUWA MSINGI WA MAJADILIANO NA RUGE AMEKUBALI KU...YATEKELEZA YOTE...KUANZIA SUALA LA STUDIO YA RAIS KURUDISHWA KWA BASATA ILI IWE YA WASANII WOTE,PIA T.F.U IJIKABIDHI KWA CHAMA HALALI CHA WASANII YAANI T.U.M.A KAMA AMBAVYO TULIKUWA TUNADAI NA MPAKA ISSUE ZA WASANII KUNYANYASWA NA KUBANIWA NA PIA SUALA LA MALIPO HAFIFU VYOTE VIMEJADILIWA NA KUKUBALIWA KWA UTEKELEZAJI...HAIKUWA KAZI RAHISI,KWANZA ILIANZA KWA WAO KUMPIGIA MWENYEKITI WANGU MBOWE KUTAKA TUKAE CHINI,AMBAPO KAMANDA MBOWE ALINISHAURI TUKAE NAO CHINI KAMA KWELI WANA NIA YA KUYAMALIZA...BAADAYE WAKAMPIGIA MR SHIGONGO AMBAYE NI WAZI KUWA NI KATI YA WATU WANGU WA KARIBU NAYE BAADA YA KUONGEA NA MR. KUSAGA TU ALINIPIGIA NA KUNISHAURI HIVYO HIVYO...NA KAMA HAIKUTOSHA WAKALIFIKISHA HILI SUALA KWENYE KAMATI YA BUNGE AMBAYO ILINITAKA NIIPE MAELEZO YA KIINI CHA MGOGORO NA NIKAFANYA HIVYO AMBAPO PIA BAADA YA KUNIELEWA WAKASHAURI NIKAE NAO CHINI...NA HATIMAYE SUALA HILI LIKAISHIA MIKONONI MWA WAZIRI NCHIMBI PAMOJA NA MHE. TUNDU LISSU(MP) KUWA WAPATANISHI WETU...WAZIRI NCHIMBI AKAANZA KWA KUMUITA RUGE DODOMA NA ALIKUJA TUKAKAA KWA HATUA YA KWANZA NA HATIMAYE LEO TUKAKAA TENA MAKAO MAKUU YA WIZARA YA UTAMADUNI CHINI YA DR NCHIMBI NA MHE TUNDU LISSU NA HATIMAYE TUKAFIKIA HATUA HII YA LEO...VITA YETU ILIKUWA NA HOJA HATUKUWA TUNAPIGANA TU KWA CHUKI BINAFSI KAMA BAADHI YA WATU WALIVYOKUWA WANAJARIBU KUIWEKA,KWAHIYO KAMA HOJA ZETU ZIMEELEWEKA KWA SASA TUNATAKIWA KUSHUKURU NA KUFURAHIA...LAKINI NAOMBA NIWAHAKIKISHIE MISIMAMO IKO PALE PALE NA NIMEWAWEKA WAZI KUWA ANTI-VIRUS ITAENDELEA KUWEPO ILI KUENDELEA KU-SCAN VIRUS WENGINE KAMA MAMENEJA MASOKO NA WENGINE WATAKAOJITOKEZA KWANI NCHI INAPOSHINDA VITA AU HATA KUFIKIA TU MAKUBALIANO YA AMANI NA NCHI ADUI YAKE HAINA MAANA NCHI HIYO INAVUNJA JESHI LAKE...

ASANTENI SANA...( MR.II SUGU KWENYE WALL YAKE)

Tuesday, February 21, 2012

UCHAGUE FAMOUS -JAY MOE FT. P.FUNK KAMA WMBO BORA WA KUSHIRIKIANA

Chagua Famous - Jay moe ft. P.funk uwe Wimbo bora wa kushirikiana katika tunzo za kili music 2012.
Andika Z1 tuma kwenda 15747. Anastahili.

MPIGIE KURA BEN POL WIMBO BORA R&B

Muwezeshe Ben Pol kuchukua tuzo ya Wimbo bora wa r&b kupitia wimbo wake My number one fan kwa kuandika H1 Kisha tuma kwenda 15747. Anastahili.

Saturday, February 18, 2012

MPIGIE KURA FID-Q BEST HIP HOP ARTIST

Muwezeshe Fid-Q kupata tunzo ya Msanii bora wa Hiphop Tanzania katika KILI MUSIC AWARDS 2012. Ili kumuwezesha Andika namba yake ya ushiriki ambayo ni P5 kwenye meseji kisha itume kwenda namba 15747. Fanya hivyo mara nyingi uwezavyo kwani Mchizi anastahili.

Wednesday, February 15, 2012

THIS IS KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS NOMINEES 2012 IN CASE YOU DIDN'T GET

Piga kura
Mwaka huu unaweza kumpigia kura msanii/bendi kwa SMS! SMS namba maalum (code number) iliyo pembeni ya jina la msanii/bendi (Kulia) kwenda namba15747.
Wanaotaka kutuma kupitia posta, andika jina lako, anwani na utume fomu kutoka magazetini kwa njia ya posta kwenda:
KTMA 2012
C/o INNOVEX
P.O. Box 75297
Dar es Salaam, Tanzania.


Ukipenda, tuma kura yako kwa barua pepe kwenda
ktma@innovexdc.com, Kamati iliyo huru itakusanya na kuhakikisha kura zote zinahesabiwa. Mpigie kura msanii wako sasa!


:: Mtumbuizaji Bora wa Kike ::
Khadija Kopa A1
Isha Mashauzi A2
Queen Darleen A3
Dayna A4
Shaa A5
:: Mtumbuizaji Bora wa Kiume ::
Diamond B1
Ally Kiba B2
Bob Junior B3
H. Baba B4
Mzee Yusuf B5
:: Mwimbaji Bora wa Kiume ::
Ally Kiba C1
Diamond C2
Barnaba C3
Belle9 C4
Mzee Yusuf C5
:: Mwimbaji Bora wa Kike ::
Dayna D4
Lady JayDee D1
Khadija Kopa D2
Isha Mashauzi D3
Linah D5
:: Wimbo Bora wa Taarabu ::
Full Stop- TOT Band E1
Mamaa Mshauzi-Isha E2
Hakuna Mkamilifu-Jahazi E3
Nani Kama Mama-Isha E4
Nilijua Mtasema-Jahazi E5
:: Wimbo Bora wa Mwaka ::
Hakunaga-Suma lee F1
Dushelele-Ali Kiba F2
Moyo Wangu-Diamond F3
Mathematics-Roma F4
Nilipe Nisepe-Belle9 F5
Riz One-Izzo B F6
:: Wimbo Bora wa Kiswahili (Bendi) ::
Dunia Daraja-African Stars G1
Hukumu yamnafiki-Mashujaa Band G2
Falsafa ya Mapenzi- Extra Bongo G3
Usia wa Babu-Mapacha 3 G4
Mtenda-Extra Bongo G5
:: Wimbo Bora wa R&B ::
My number1 Fan-BenPol H1
Maumivu-BenPol/One H2
Nilipe Nisepe-Belle9 H3
Napata Raha-Jux H4
Usiniache-Hemed H5
:: Wimbo Bora wa Hip Hop ::
Famous-JayMo/PFunk J1
King Zila J2
Mathematics-Roma J3
Riz One-Izzo B J4
Kilimanjaro-Joh Makini/LadyJayDee/GNako J5
:: Wimbo Bora wa Reggae ::
Mazingira-Malfred/Lutan K1
Arusha Gold-Warrior K2
Give it up to me-Delyla K3
Nia yao-20% K4
Ni wewe-Nakaaya K5
:: Wimbo Bora wa Ragga/Dance Hall ::
Good Look- AY/Miss Trinity M1
Maneno Maneno-Queen Darleen/Dully M2
Ganja man-Dabo M3
Poyoyo-Malfred M5
Kudadeki-Malfred M4
:: Rapa Bora wa Mwaka (Bendi) ::
Kalidjo Kitokololo N1
Khahokoraa N2
Fagason N3
Msafiri Diof N4
Totoo Ze Bingwa N5
:: Msanii Bora wa Hip Hop ::
Godzilla P1
Roma P2
Izzo B P3
Joh Makini P4
Fid Q P5
:: Wimbo Bora wa Afrika Mashariki ::
Kigeugeu-Jaquar Q1
Chokoza-Avril/Marya Q2
Mulika Mwizi-Kidum/Sana Q3
Coming Home-Nameless Q4
4sho 4shizzle-Prezzo Q5
Valuvalu-J-Chameleon Q6
:: Mtunzi Bora wa Mwaka ::
Diamond R1
Ali Kiba R2
Mzee Yusuf R3
Barnaba R4
Belle9 R5
:: Mtayarishaji Bora wa Nyimbo ::
Marco Chali T1
Pancho Latino T2
Bob Junior T3
Maneck T4
Man Water T5
:: Video Bora ya Muziki ya Mwaka ::
Moyo Wangu-Diamond U1
Wangu-Lady JayDee/Mr. Blue U3
Hakunaga-Sumalee U2
Ndoa Ndoano-Kassim Mganga U4
My Dear- Akili/Sarah/Big Jahman U5
:: Wimbo Bora wa Afro Pop ::
Hakunaga-Sumalee V1
Starehe Gharama-Tunda Man V2
Moyo Wangu-Diamond V3
Mawazo- Diamond V4
Nai Nai-Ommy/Ali Kiba V5
:: Msanii Bora anayechipukia ::
Ommy Y1
Darasa Y2
Recho Y3
Abdul Kiba Y4
Beatrice Y5
:: Wimbo Bora wa Kushirikiana ::
Famous-JayMo/PFunk Z1
King Zila-Godzilla/Marco Chali Z2
Wangu-Lady JayDee/Mr. Blue Z3
Kama ni Gangstar- Chege/Ferouz Z4
Nai Nai-Ommy/Ali Kiba Z5
:: Wimbo Bora wa Asili ya Kitanzania ::
Bao la Kete-A.T X1
Kidudu Mtu-Offside Trick/BabyJ X2
Vifuu Tundu-A.T/Mwanne X3
Mwanadamu-Ashimba X4
Tunapeta-YoungD/Mataluma X5
:: Wimbo Bora wa Zouk/Rhumba ::
Daima Milele-Barnaba W1
Dushelele-Ally Kiba W2
Nivute Kwako-Dayna/Barnaba W3
Wangu-Lady Jay Dee/Mr. Blue W4
Kizunguzungu-Recho W5

BOBBY BROWN YUPO KWENYE HARD TIME KUHUSIANA NA KIFO CHA WHITNEY HOUSTON


Mkali Bobby Brown amejikuta yupo kwenye wakati mgumu kufuatia kifo cha mpenzi wake wa zamani Whitney Houston. Hii inatokana na ndugu wa marehemu kumkataa Bobby kufika kwenye msiba huo. Yote hayo yametokea kutokana na fikra zilizopo kuwa Bobby ndo Chanzo cha kifo cha Whitney.

Lakini Boby bado ana struggle kuweka mambo sawa kwani amekiri kuwa alimpenda Whitney.
R.I.P. Whitney.

Tuesday, February 14, 2012

THE REASONS WHY I HATE VALENTINE DAY


Valentine's Day is terrible for two kinds of people -- those who are single and those who aren't.

For single people, the day is a disappointing reminder they don't have that "special someone" in their life. Not a fun feeling -- believe me, I've been there.

But personally I think it's worse for people in a relationship. Single people can choose to ignore
Valentine's Day. However, if you're in a relationship, the last thing you want to do is ignore Valentine's Day -- believe me, I've been there, too.

 What may have started out as a holiday intended to bring couples together has been transformed into a commercial spectacle peddled to us by florists, greeting card companies, jewelry stores and makers of stuffed animals.

My issue is not with being romantic or expressing your feelings to the person you love. My issue is being required to do so on February 14. This date has zero connection to us. Each year on February 14 we are in essence commanded to be "romantic."

Sunday, February 12, 2012

The Chapter One Plus Studio

R.I.P. Whitney Houston

Mungu Ailaze Pema roho ya mkali Whitney, Amekutwa amefariki bafuni hotelini na bado chanzo cha kifo hakija fahamika bado.
We will Miss u.