Sunday, August 12, 2012

NEY WAMITEGO NA SINTA NDANI YA BIFU

Juzi kati kupitia kipindi cha runinga cha Clouds tv kiitwacho Take One ambacho kime base zaidi katika kufanya mahojiano na masupastaa wa bongo movie, kilikuwa meza moja na mkali wa bongo flavour Nay wamitego, ambaye katika single yake iitwayo 'Nasema nao'amewachana mademu wa bongo movie kavukavu kuwa wengi wao ni malaya. Nay ameenda mbali zaidi baada ya kumtaja live mwanadada Christina a.k.a Sinta kuwa ni mmojawapo ya wasanii ambao wako tayari kufanya kitu chochote ilimradi aweze kung'ara tena katika gemu. Baada ya kutajwa na Nay, Mdada Sinta naye kupitia mtandao wake ameamua kujibu kwa kumchana kavukavu mchizi Nay.Swali langu ni kwamba, hivi ni sawa kwa wasanii kupakana live kihivi? KAAAAAAZI KWELI KWELI. Hii stori ni kwa msaada wa DJ Fetty

2 comments:

  1. Bongo muvi wamezidi xana.
    Mi naona poa tu kwa ney kuwachana laiv

    ReplyDelete
  2. uko sahihi mwana, mademu wa bongo muvi wanaboa, full umalaya

    ReplyDelete