Tuesday, February 26, 2013
Tuesday, February 12, 2013
Solo Thang ft. Chid Benz- Viini Macho mp3.
Huu ni ujio mpya wa mkali wa hip hop ambaye muda mwingi amekuwa mtoni katika harakati zake huku akitupia track za hapa na pale. Anajulikana kama Msafiri Kondo maarufu kama Solo Thang 'the Travellah' ambaye kwasasa ametoka na ngoma hii hapa ambayo kamshirikisha mkali mwingine kutoka Ilala Chid Benz. Ngoma inaitwa Viini Macho. Kama hujaipata bado Bonyeza HAPA
Rapper Common asema Apatikane Papa Mweusi Baada ya kutangaza kujiuzulu kwa Papa Benedict XVI
Rapper Common, ameonesha wazi hisia zake za kuhitaji kupatikane Kiongozi mpya wa wakatoliki duniani ( Papa ) mwenye asili ya kiafrika mara baada ya papa Benedict XVI kutangaza kujiuzulu wadhifa huo ifikapo tarehe 28 februari 2013.
Rapper huyo ameongea hayo alipokuwa ameulizwa na TMZ juu ya kujiuzulu kwa papa Benedict xvi na mtazamo wake juu ya hilo.
Na alipoulizwa nani anaweza kukaa kwenye nafasi hiyo Common hakusita kumtaja Kadinali Peter Turkson kutoka Ghana kuwa anaweza kushika nafasi hiyo. "electing a black Pope would be a beautiful thing" alisema Common.
Whaddup- LL Cool J ft. Chuck D, Travis Barker, Tom Morello & DJ Z-Trip
Ni ujio mpya wa legend wa hip hop, LL Cool J. Hii ni ngoma ambayo inapatikana katika albam yake mpya iitwayo 'Authentic'.
Jamaa anaonesha uwezo wake ule ambao fans wake walikuwa wakiumis. Katika tuzo za Grammy juzi kati Cool J alifanya bonge la show na kuweza ku perfom live ngoma hii. Kama wapenda real hip hop, then hii ndo albam yako.
Jamaa anaonesha uwezo wake ule ambao fans wake walikuwa wakiumis. Katika tuzo za Grammy juzi kati Cool J alifanya bonge la show na kuweza ku perfom live ngoma hii. Kama wapenda real hip hop, then hii ndo albam yako.
Monday, February 11, 2013
Wednesday, February 6, 2013
Sunday, February 3, 2013
Friday, February 1, 2013
Hali ya afya ya Msanii wa Vichekesho 'Matumaini' ni mbaya
Hali ya afya ya Msanii wa maigizo na vichekesho nchini Tumaini Martin 'Matumaini' inasemekana kuwa ni mbaya. Kwasasa Inasemekana Matumaini yupo nchini Msumbiji ambako alienda kwaajili ya kujitafutia maisha. Na inadaiwa kuwa Msanii huyo anatafuta msaada wa kurudi nchini Tanzania, hana nauli wala msaada wowote. Hadi sasa haijajulikana ugonjwa unaomsumbua msanii huyo. Maelezo zaidi ingia hapa
Ben Pol ft. Linnah-Yatakwisha mp3.
Baada ya ngoma ya Samboira, chukua zouk jingine hili hapa kutoka kwa mkali Ben Pol akiwa amemshirikisha mdada Linah. 'Yatakwisha' ndo jina la wimbo.
Subscribe to:
Posts (Atom)