Tuesday, February 12, 2013

Whaddup- LL Cool J ft. Chuck D, Travis Barker, Tom Morello & DJ Z-Trip

Ni ujio mpya wa legend wa hip hop, LL Cool J. Hii ni ngoma ambayo inapatikana katika albam yake mpya iitwayo 'Authentic'.
Jamaa anaonesha uwezo wake ule ambao fans wake walikuwa wakiumis. Katika tuzo za Grammy juzi kati Cool J alifanya bonge la show na kuweza ku perfom live ngoma hii. Kama wapenda real hip hop, then hii ndo albam yako.

0 comments:

Post a Comment