Tuesday, February 12, 2013

Solo Thang ft. Chid Benz- Viini Macho mp3.

Huu ni ujio mpya wa mkali wa hip hop ambaye muda mwingi amekuwa mtoni katika harakati zake huku akitupia track za hapa na pale. Anajulikana kama Msafiri Kondo maarufu kama Solo Thang 'the Travellah' ambaye kwasasa ametoka na ngoma hii hapa ambayo kamshirikisha mkali mwingine kutoka Ilala Chid Benz. Ngoma inaitwa Viini Macho. Kama hujaipata bado Bonyeza HAPA

0 comments:

Post a Comment