Friday, February 1, 2013

Hali ya afya ya Msanii wa Vichekesho 'Matumaini' ni mbaya

Hali ya afya ya Msanii wa maigizo na vichekesho nchini Tumaini Martin 'Matumaini' inasemekana kuwa ni mbaya. Kwasasa Inasemekana Matumaini yupo nchini Msumbiji ambako alienda kwaajili ya kujitafutia maisha. Na inadaiwa kuwa Msanii huyo anatafuta msaada wa kurudi nchini Tanzania, hana nauli wala msaada wowote. Hadi sasa haijajulikana ugonjwa unaomsumbua msanii huyo. Maelezo zaidi ingia hapa

0 comments:

Post a Comment