Saturday, June 16, 2012

HALI YA MZEE SMALL YAWA TETE,TUMUOMBEE

Hali ya Msanii mkongwe wa filamu na vichekesho nchini Tanzania,Mzee Small imekuwa mbaya kiasi cha kuhamishwa hospitali ya Amana alipokuwa mwanzo na kupelekwa Muhimbili kwa matibabu zaidi,na kwa mujibu wa Global publisher Mzee small ameruhusiwa kurudi nyumbani lakini bado hali si nzuri. Tumuombee awefresh

2 comments:

  1. pole sana mzee small sisi wakenya tumependa sana cinema zako miaka mingi sana toka uanze usanii wako :tuko na cinema zako zote natunakuombeya upone ili uendeleze sifa zako ili tupate sifa zako zaidi :nakama unataka msaada toka kwetu sisi wakenya tuma nr yako ya simu ilituweze kuwasiliana nawewe mwenyewe :uguwa pole mzee small

    ReplyDelete
  2. UGUWA POLE MZEE SMALL:

    ReplyDelete