Saturday, June 16, 2012

EXCLUSSIVE: BIRDMAN AFUNGUKA JUU UGOMVI WA DRAKE NA CHRIS BROWN,ASEMA DRAKE HAKUFANYA KITU CHOCHOTE KIBAYA

Bosi wa YMCMB, Bryan Williams "Birdman" ametoa kauli yake kufuatia fujo na ugomvi kati ya Drake na Chris Brown uliotokea juzi kati. Birdman kasema kuwa Drake sio mtu wa fujo za aina hiyo hivyo anaamini hajafanya kitu chochote kibaya kwenye fujo hizo.
Kwa maneno yake alisema hivi pindi alipokuwa akihojiwa na MTV ""Well, to me, I think n---as got Drake twisted. A lot of n---as be playin', pitty-pattin' with Drake. I don't like that sh--, period,. "Drake is one of us, so if you f---in' with Drake, you f---in' with us, period!"
"To me, Drizzy ain't did nothin' wrong, he ain't done nothin' wrong to nobody. He just doin' great music," . "He's not a reckless guy out there just wildin' out; he's a humble kid makin' great music." Alisema Birdman akimtetea msanii wake wa YMCMB.
Fujo zilitokea juzi trh 15/6/2012 kwenye night club ya W.I.P huko NYC zikimhusisha Drake na wenzake kuwashambulia kina Chris Brown kwa Chupa za moto na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwemo mcheza mpira wa kikapu NBA Tony Parker pamoja na mlinzi wa Chris Brown.
Polisi inaendelea na uchunguzi na inasemekana Drake bado yupo huru hadi upelelezi ukamilike.

0 comments:

Post a Comment