Wednesday, June 27, 2012

MKONGWE WA FILAMU KUTOKA BOLLYWOOD INDIA,AMITABH BACHCHAN AZUSHIWA KIFO

Mkongwe wa tasnia ya filamu kutoka Bollywood India, Amitabh Bachchan Azushiwa kifo na blog moja ambayo inasemekana ndiyo blog pekee iliyowahi kutangaza vifo hewa vya mastaa wengi wakiwemo David Beckham, Justin Bieber n.k
Blogger huyo ametangaza kifo hiko jana akisema kuwa Amitabh amefariki kwa ajali ya gari.
Habari za kifo hiki zimekanushwa Kupitia mtandao wa http://www.deccanchronicle.com na hadi sasa hivi Amitabh bado haja comment kitu chochote kutokana na uzushi huo.

0 comments:

Post a Comment