Monday, June 4, 2012

LIL WAYNE AVUNJA SHOW YA NICKI MINAJ KWENYE TAMASHA LA SUMMER JAM LA HOT 97

Bosi wa YMCMB Lil wayne ametangaza kuvunja show iliyokuwa ifanywe na mdada nicki minaj katika tamasha la summer jam lililo andaliwa na kituo maarufu cha hiphop nchini marekani cha Hot 97 baada ya mtangazaji wa kituo hiko Peter Rosenberg ku diss live ngoma ya mdada Minaj iitwayo 'starships'.
Mtangazaji huyo alinukuliwa hivi akiwa live "I know there's some chicks here waiting to sing 'Starships' later, I'm not talking to y'all right now. F--- that bullsh--. I'm here to talk about real hip-hop sh--,"
Kutokana na hilo Weezy hakuvutiwa na hizo comment za mtangazji huyo hivyo akaamua ku twit kupitia akaunti yake  "Young Money ain't doing summer jam,"

Kabla ya hapo Nicki alishatangaza kupitia mtandao wa twitter kuwa angeenda na kupafomu na wakali kibao kwenye show hiyo wakiwemo Cam'ron, 2 Chainz, Nas, Lauryn Hill, reggae star Beenie Man, Foxy Brown, Lil Wayne na members wengine kibao wa Young Money/Cash Money family.

Hii sio mara ya kwanza kwa mdada Nicki kupata Diss juu ya uwezo wake katika hiphop, mwezi wa april baada ya  kuachia albamu yake ya sophomore Minaj alizungumza na MTV na alifunguka juu ya maisha yake ya kitaa kabla ya umaarufu na alimalizia kwa kusema "I'm still me, hip-hop culture is still in my heart, That can never leave me."




0 comments:

Post a Comment