Tuesday, June 26, 2012

EXCLUSSIVE: 50 CENT APATA AJALI YA GARI

Curtis Jackson '50 Cent' amepata ajali ya gari iliyotokea jana usiku baada ya Gari yake ambayo ni Bullet proof "SUV" kusukumwa na Lori kubwa mjini New York.
Kwa mujibu wa mtandao wa This is 50, 50 kwasasa ameshatoka hospitali ambapo alikimbizwa mara baada ya ajali na alipatiwa vipimo vya shingo na mgongo.

Katika ajali hiyo pia Dereva wake amejeruhiwa..



0 comments:

Post a Comment