Wednesday, June 27, 2012

Dkt. STEPHEN ULIMBOKA AOKOTWA PORINI AKIWA TAABANI

Mwenyekiti wa Jumuiya ya madaktari nchini, Dk Stephen Ulimboka amelazwa katika hospital ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuokotwa katika pori la Pande nje kidogo ya jiji akiwa taaban.Inasemekana Dk Ulimboka alitekwa jana na watu wasiojulikana.
Hii stori ni kwa mujibu wa Mwananchi communication na picha ni kwa mujibu wa blog ya leotainment.

12 comments:

  1. angalizo kwa Dr watamgomea mwenzao maana sasa shida kwao vipi hapo ? sio wao tu wajue shida haina mwenyewe, wamtibu mwenzao

    ReplyDelete
  2. yap,what goes around comes around

    ReplyDelete
  3. ila jamani huu waliomfanyia mzee huyu sio utu kabisa

    ReplyDelete
  4. they have done not in aright way ila what goes around comes around

    ReplyDelete
  5. doctor ni mwananchi kama mwananchi mwingine na anahaki ya kugoma kufanya kazi anapoona malipo sio sahihi, ila kwasababu amegoma nd utake kumuua hiyo sio sawa, na hata kawa wat goes around comes around, how many doctors r they going to be killed or attacked to pay for the daeth of poeple who died during the strick? thats not the soln at all.

    ReplyDelete
  6. ni kweli kabisa, kama ni malipizi sio kwenye maisha ya mtu,hakustahili adhabu aliyopata

    ReplyDelete
  7. kwani wagonjwa ambao wana hali mbaya na hawapati matibabu kwa sababu ya strike ambayo ni unlawful mwisho wake ni nini? kuhangaika na kufa, Doctors rudini kazini na mdai haki zenu mkiwa kazini japo hata kama si kwa asilimia 100 ili wenye matatizo makubwa wasife.

    ReplyDelete
  8. hivi kwani mnahisi nani kafanya hiyo ishu kwa dokta?

    ReplyDelete
  9. Ni nani aliyefanya unyama huu? tatizo ni kwamba serikali ya Tanzania huwa inarekebisha mambo baada ya migomo bila watu kugoma madai yao hayazingatiwi haraka. kumuua dk Ulimboka si suluhisho la mgomo wa madaktari.

    ReplyDelete
  10. halafu inasemekana hakuwa mwajiriwa wa serikali,sasa nae aliingiaje kwenye mgomo?

    ReplyDelete
  11. kikwete na serikali yako wote mafisadi

    ReplyDelete
  12. pole sana doctor ulimboka mungu akusaidie upone haraka

    ReplyDelete