Monday, July 16, 2012

BAADA YA 'AMEN' YA MWANA FA, Chukua na hii ' AMEN' - MEEK MILL ft. DRAKE

Hii ni official video ya mkali kutoka Maybach Empire,Meek Mill akimshirikisha Drake kutoka YMCMB. Ngoma inaitwa 'Amen', ni siku kadhaa Mwana FA nae ametoa ngoma ikiitwa 'amen' hivyohivyo, Inakuaje idea zinagongana???? Anyways, yote maisha.

2 comments:

  1. inatokea mwana mawazo kugongana,ila alianza FA

    ReplyDelete
  2. sisi wabongo sample nyingi,hiyo ngoma ya fa hata beat ilikuwa sampled, so sishangai

    ReplyDelete