Friday, August 24, 2012

B.O.B NA NICKI MINAJ WAMETISHA KWENYE VIDEO YA 'OUT OF MIND'

Wakali B.O.B na Nicki Minaj wametisha ilembaya katika video ya 'Out Of Mind'ambapo inaanza kwa kumuonesha Bobby ray akiwa amefungwa na amevishwa mavazi ya wagonjwa wa akili,na kupitia kamera za usalama za hospitali anaonekana bob akipiga ukuta huku
akijitahidi kuyatoa mavazi meupe aliyovalishwa, katika kipande kingine mchizi anasikika aki rap maneno haya "Don't look at me wrong, I'm out of my mind, Nostradamus and da Vinci combined/ So paranoid of espionage, I'm watchin' my doors and checkin' my blinds," kisha kama bahati hivi B.O.B anapata rafiki ambaye ni Dokta Minaj Nicki, na wakati wa mahojiano ya mgonjwa na dokta, minaj analitoa koti lake jeupe na kuanza ku rap maneno akimwambia Bob "You gonna really need a wish right now when my goons start shootin' stars." Ni bonge ya video ambayo hupaswi kuikosa kuiona na ndio maana nimekutupia hapa chini uichukue. Enjoy.

0 comments:

Post a Comment