Sunday, August 12, 2012

RIHANNA AFUNGUKA KWA OPRAH WINFREY JUU YA CHRIS BROWN, ASEMA AMEPOTEZA 'BEST FRIEND'

Mwana da-shosti Rihanna amefunguka kupitia kipindi cha mwanamama Oprah Winfrey kuwa kutokana na kutengana kwake na mkali Chris Brown anahisi kama amempoteza rafiki wake kipenzi 'best friend'. Rihanna kwenye mahojiano hayo anaonekana kutosita kuonesha hisia zake juu ya Chris Brown. Kutokana na hayo watabiri wa mambo wanahisi wapenzi hawa wa zamani Chris na Rihanna kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kurudiana.
 Hii ni Teaser kutoka kwa Mwanamama Oprah juu ya Next Chapter ambayo itaenda hewani kuanzia August 19.

0 comments:

Post a Comment