Friday, August 17, 2012

RICK ROSS AACHIA 'AMSTERDAM' VIDEO

Rapa  Rick Ross ameachia video mpya kutoka katika albam yake mpya iitwayo 'God forgives,I dont'.
Wimbo unaitwa 'Amsterdam' na video imeongozwa na Dre films. Humo ndani wamo wakali kadhaa kama vile Tyga na Omarion. Alipokuwa akiongelea video hiyo Rossy ambaye pia ni Boss wa MMG amefunguka kuwa video ime base katika 'red light district', na alipoulizwa ni kwanini ime base huko alifunguka kama ifuatavyo: ‘I kinda flipped it where being a boss you gotta get approval for a greenlight’.
‘I’m one of those people you can’t green light. As long I’ve been in this game, there’s been a lot of talk, but ain’t nobody stepped on these 11 and a half’s. The reason being: This is the red light district, you can’t move on this side.’ Ni bonge moja la video. Itupie jicho hapa chini.






0 comments:

Post a Comment