Thursday, August 23, 2012

'FREELANCERS' MOVIE MPYA YA 50CENT

Hii ni Bonge ya movie kutoka kwa mkali 50Cent akiwa na mkali Forest Whitaker aliyewahi kucheza filamu ya Idd Amin ijulikanayo kama 'Last king of scotland'. Tayari ipo sokoni waweza jipatia kopi yako.

0 comments:

Post a Comment