Saturday, December 1, 2012

B.O.B ASEMA HAKUWAHI KUPATA SUPPORT YA MSHUA WAKE

Mkali kutoka Atlanta (ATL), B.O.B ameweka wazi kuwa katika harakati zake za kuingia katika Rap hata siku moja hajawahi kupata support kutoka kwa baba yake. Akiongea katika episode ya hivi karibuni ya MTV iitwayo "This Is How I Made It," mchizi amesema kuwa mshua wake alikuwa hajavutiwa na chaguo la mwanae la kazi hiyo. "I remember I was walking through the house with a rap book, a do-rag on and some headphones or something, and my dad stopped me," he said, recalling one pivotal moment. "He was like, 'Why are you trying to be something that you're not?' " Alisema Bobby Ray. Kisha jama alimjibu mshua kuwa 'What do you mean, something I'm not?' I'm an MC, I' m a lyricist, I'm a rapper — I love this. Yeah habari ndo hiyo,pale unapoamua kufanya kitu ukipendacho then familia haipo upande wako.Licha ya kutokuwa na support hiyo mchizi alikaza na hatimaye kuwa hot hivi sasa.

0 comments:

Post a Comment