Tuesday, December 4, 2012

50 Cent Aelezea single yake mpya iitwayo "My life"

Mkali Curtis Jackson, 50 Cent, amejigamba kwa kuielezea  single yake mpya ijayo iitwayo "My life" kuwa  itakuwa ni single bora kuliko zote alizowahi kutoa. Ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na SOHH. Anaamini kuwa itafanya poa kwani verse ziko tight na Eminem ambae ameshirikishwa kwenye track hiyo ametambaa poa zaidi na midundo ndo usiseme. So ngoja mimi na wewe tusubiri tumsome mchizi Fif. Isikie hapa chini.
50 Cent ft Eminem & Adam Levine - My Life

Powered by mp3skull.com

0 comments:

Post a Comment