Monday, August 26, 2013

NEW VIDEO: Young Dee-Kijukuu

Saturday, August 24, 2013

Kendrick Lamar kajitokeza katika categories 14 katika BET Hip Hop Awards 2013

BET Imetangaza nomination za tuzo za hip hop 2013 na kumuweka Mkali Kendrick Lamar katika Categorie 14 akifuatiwa na Drake categories 13 na J-cole 10. BET mwaka huu inatarajiwa kuwa hosted na Snoop Lion, na show inatarajiwa kurekodiwa September 28 na kurushwa hewani October 15 mwaka huu.

Check out the full list of nominees:
Best Hip Hop Video: A$AP Rocky f/ Drake, 2 Chainz & Kendrick Lamar – Problems,  B.o.B f/ T.I. & Juicy J – We Still In This,  J. Cole f/ Miguel – Power Trip, Drake – Started From The Bottom, Kendrick Lamar – Don’t Kill My Vibe
Reese’s Perfect Combo Award (Best Collabo, Duo or Group):  Ace Hood f/ Rick Ross & Future – Bugatti, A$AP Rocky f/ Drake, 2 Chainz & Kendrick Lamar – Problems, J. Cole f/ Miguel – Power Trip, French Montana f/ Rick Ross, Drake & Lil Wayne – Pop That, Kendrick Lamar f/ Drake – Poetic Justice, Wale f/ Tiara Thomas – Bad
Best Live Performer: 2 Chainz,  J. Cole, JAY Z, Kendrick Lamar, Kanye West
Lyricist of the Year: J. Cole, Drake, JAY Z, Kendrick Lamar, Wale
Video Director of the Year: A$AP Rocky & A$AP Ferg, Benny Boom, Director X, Dre Films, Hype Williams
DJ of the Year: DJ Drama, DJ Envy, DJ Funkmaster Flex, DJ Khaled, DJ Scream
Producer of the Year: J. Cole, Hit-Boy, DJ Mustard, Mike WiLL Made It, Pharrell Williams
MVP of the Year: 2 Chainz, J. Cole, Drake, JAY Z, Kendrick Lamar
Track of the Year: Power Trip – Produced by J. Cole (J. Cole f/ Miguel),  Problems – Produced by Noah “40” Shebib (A$AP Rocky f/ Drake, 2 Chainz & Kendrick Lamar), Don’t Kill My Vibe – Produced by Sounwave (Kendrick Lamar), Bugatti – Produced by Mike WiLL Made It (Ace Hood f/ Rick Ross & Future), Started From The Bottom – Produced by Mike Zombie & Noah “40” Shebib (Drake)
Album of the Year: J. Cole – Born Sinner, JAY Z – Magna Carta Holy Grail, Kendrick Lamar – good kid, m.A.A.d city, Nas – Life Is Good, Wale – The Gifted
Who New? Rookie of the Year: Action Bronson, A$AP Ferg, Earl Sweatshirt, Joey Bada$$, Trinidad Jame$
Hustler of the Year: Diddy, JAY Z, Kendrick Lamar, T.I., Kanye West
Made-You-Look Award: 2 Chainz, A$AP Rocky, JAY Z, Kendrick Lamar, Nicki Minaj, Kanye West
Best Hip Hop Online Site: Allhiphop.com, Complex.com, GlobalGrind.com, RapRadar.com, WorldStarHipHop.com
Best Club Banger: Ace Hood f/ Rick Ross & Future – Bugatti (Produced by Mike WiLL Made It), A$AP Rocky f/ Drake, 2 Chainz & Kendrick Lamar – Problems (Produced by Noah “40” Shebib), Drake – Started From The Bottom (Produced by Mike Zombie & Noah “40” Shebib), French Montana f/ Rick Ross, Drake & Lil Wayne – Pop That (Produced by Lee on the Beats), Trinidad Jame$ – All Gold Everything (Produced by M.e. (Devon Gallaspy)
Best Mixtape: Big Sean – Detroit, Chance The Rapper – Acid Rap, Travi$ Scott – Owl Pharaoh, Stalley – Honest Cowboy, Trinidad Jame$ – Don’t Be S.A.F.E.
Sweet 16 (Best Featured Verse): Diddy – Same Damn Time (Remix) (Future f/ Diddy & Ludacris), Drake – Versace (Remix) (Migos f/ Drake), Future – Bugatti (Ace Hood f/ Rick Ross & Future), Kendrick Lamar – Problems (A$AP Rocky f/ Drake, 2 Chainz & Kendrick Lamar). Wiz Khalifa – U.O.E.N.O. (Remix) (Rocko f/ Future & Wiz Khalifa)
Impact Track: J. Cole f/ TLC – Crooked Smile, JAY Z f/ Justin Timberlake – Holy Grail, Macklemore & Ryan Lewis – Same Love, Wale f/ Sam Dew – LoveHate Thing, Kanye West – BLKKK SKKKNHEAD
People’s Champ Award: A$AP Rocky f/ Drake, 2 Chainz & Kendrick Lamar – Problems, J. Cole f/ Miguel – Power Trip, Drake – Started From The Bottom, Kendrick Lamar – Don’t Kill My Vibe, Macklemore & Ryan Lewis f/ Mary Lambert – Can’t Hold U.

Kanye West aweka hewani picha ya kwanza ya mtoto wao Tangu azaliwe


Baada ya miezi miwili ya matazamio yetu, hatimaye picha ya kwanza tangu kuzaliwa kwa mtoto North West, imewekwa hewani na baba wa mtoto ambaye ni Kanye West himself. Mtoto North West alizaliwa June 15 mwaka huu, na kwa kipindi hiko chote wazazi hao "Kanye West na Kim Kardashian" hawajawahi kuweka hewani picha ya mtoto wao hadi jana Ijumaa kupitia kipindi cha television cha Kris Jenner's chat show ambapo Kanye West alikuwa na exclusive interview.


"The Expendables 3" ipo njiani yaja. Cheki picha za uandaaji wake hapa

Mkali Sylvester Stallone 'Rambo' ameanza uandaaji wa filamu ya "The Expendables 3" ambapo safari hii amewaongeza wakali wengine akiwemo mkali Wesley Snipes. Hizi ni baadhi ya picha wakiwa katika uandaaji wa filamu hiyo.






Friday, August 9, 2013

50CENT HAYUMO KWENYE LIST YA UBABA KWENYE CHETI CHA KUZALIWA CHA MWANAE WA DAMU

Mkanganyiko ulitokea kwa 50Cent pindi alipotiwa nguvuni kwa kosa la kushambulia baada ya kumchapa demu wake wa zamani Daphne Joy mwezi uliopita. 50 alikana mashtaka na aliachiwa, lakini kitu cha kushangaza ni kwamba inawezekana mchizi akawa na mtoto na Bi.dada Daphne Joy ambaye hakuwahi kuweka wazi. Mwanasheria kutoka jiji la L.A amefunguka kuwa 50 na Daphne Joy wana mtoto kwa mujibu wa maelezo ya tukio la shambulio lakini wawili hao hawajawahi kuliweka wazi hilo kwenye public, mtoto pekee wa 50 ambaye anajulikana ana umri wa miaka 16 hivi sasa aliyezaa na Mdada Shaniqua Tompkins.
Mtandao wa TMZ Umefanikiwa kunasa cheti cha kuzaliwa cha Mtoto huyo mpya na kukuta sehemu ya jina la baba imeachwa wazi kitu ambacho kinaweza kutafsiriwa kuwa labda Bi. dada Daphne Joy bado hana uhakika juu ya baba halisi wa mtoto au hakupenda tu kumuweka Fif kwa sababu zake zingine. Lakini mtoto huyo bado anatumia jina lake la mwisho kama Jackson 'Curtis' kitu ambacho tunaamini kuwa Mchizi ni baba halisi wa mtoto. Hadi naiandika story hii 50 bado hajatoa comment yoyote juu ya hili.

BEYONCE AAMUA KUNYOA NYWELE, AWA NA MUONEKANO MPYA

Bi. dada mkali kutoka state, Beyonce Knowles ameamua kufuata nyayo za Bi. shosti Rihanna kwa kuamua
kuyatoa yale manywele yake marefu na kubaki na nywele fupi. Kimtindo amebadili muonekano. Alitupia picha katika mtandao wa Instagram wa muonekano wake mpya.

Thursday, August 8, 2013

USHER RAYMOND AFUNGUKA JUU YA AJALI YA MTOTO WAKE

Mkali Usher Raymond amevunja ukimya baada ya kuamua kufunguka juu ya tukio la Mwanae wa miaka 5 la kupata ajali ya kunasa ndani ya swimming pool. Mkali huyo amefunguka kwa kuwashukuru washikaji wawili ambao walifanikisha kumnasua mtoto Usher V kutoka katika pool hiyo.Katika hilo alinukuliwa akisema "I would especially like to thank the two men who saved my son's life, Eugene Stachurski and Ben Crews. They are true heroes and I am deeply grateful to them," Pia amechukua time hiyo kuweza kusema kuwa mtoto kwa sasa yuko poa. Wakati huohuo Demu  wa zamani wa mkali huyo, Tameka Raymond,amemmaindi mchizi juu ya malezi ya watoto wao wawili, bi.dada huyo ameamua kufungua mashtaka akimmaind mwana kwa kutokuwa na muda wa kutosha wa kukaa na watoto kwani muda mwingi hayupo maskani kitu ambacho kina waweka watoto katika hali mbaya kimaadili, dini, afya, elimu na mambo kama hayo.

Tuesday, August 6, 2013

CHRIS BROWN ATANGAZA KUSTAAFU MUZIKI BAADA YA 'X' ALBUM

Mkali Chris Brown ameonesha kukerwa na kesi na mastori yanayoendelea kitaa na ya kuwa yeye ni 'hit  & run' kutokana na umaarufu wake juu ya mademu, na kwa kupitia mtandao wa Twitter mkali huyo ameamua kufunguka kuwa album yake hii itakuwa ya mwisho kwake kwani amechoka. Ameandika post hizi hapa 'Don't worry mainstream America.After this X album, it'll probably be my last album, Being famous is amazing when it's for ur music and talent. I'm tired of being famous for a mistake I made when i was 18. I'm cool & over it!.' Kwa upande wangu bado siamini kuwa mchizi yuko serious, kwani yeye sio wa kwanza kutangaza kuacha muziki na kurudi tena.

Thursday, August 1, 2013

BUSTA RHYMES AONGELEA WAZO LA DJ KHALED KUTANGAZA NIA KWA NICKI MINAJ

Baada ya Dj Khaled kuweka wazi nia yake ya kumtaka Bi. shosti Nicki Minaj, Mkali Busta Rhymes amesema kuwa bado hajapata uhakika kwa kile anachokisema Mchizi (DJ Khaled)kama kimetoka moyoni au la. Ila kwa namna amjuavyo Khaled huwa ni mtu wa masihara ingawa katika kipande cha video alichotangaza nia haoneshi dalili ya masihara. Busta amesema kuwa amekirudia kipande hiko cha video mara 30 na bado anaona kama mchizi yuko serious hivi.

DJ KHALED ATANGAZA NIA YA KUMUOA NICKI MINAJ,

DJ Khaled ameamua kuweka wazi hisia zake za kimapenzi kwa Bi dada Nicki Minaj kupitia MTV .Mkali huyo amefunguka kuwa anampenda Nicki kwa dhati na analengo la kumuoa kabisa. Khaled alisikika akitamka maneno haya "Nicki Minaj, I'm at MTV, I'm going to be honest with you; I love you,I like you, I want you, I want you to be mine..." Kikubwa ninachoweza kujiuliza ni je, Mchizi yupo realy kwa minaj au propaganda???