Thursday, August 1, 2013

BUSTA RHYMES AONGELEA WAZO LA DJ KHALED KUTANGAZA NIA KWA NICKI MINAJ

Baada ya Dj Khaled kuweka wazi nia yake ya kumtaka Bi. shosti Nicki Minaj, Mkali Busta Rhymes amesema kuwa bado hajapata uhakika kwa kile anachokisema Mchizi (DJ Khaled)kama kimetoka moyoni au la. Ila kwa namna amjuavyo Khaled huwa ni mtu wa masihara ingawa katika kipande cha video alichotangaza nia haoneshi dalili ya masihara. Busta amesema kuwa amekirudia kipande hiko cha video mara 30 na bado anaona kama mchizi yuko serious hivi.

0 comments:

Post a Comment