Tuesday, August 6, 2013

CHRIS BROWN ATANGAZA KUSTAAFU MUZIKI BAADA YA 'X' ALBUM

Mkali Chris Brown ameonesha kukerwa na kesi na mastori yanayoendelea kitaa na ya kuwa yeye ni 'hit  & run' kutokana na umaarufu wake juu ya mademu, na kwa kupitia mtandao wa Twitter mkali huyo ameamua kufunguka kuwa album yake hii itakuwa ya mwisho kwake kwani amechoka. Ameandika post hizi hapa 'Don't worry mainstream America.After this X album, it'll probably be my last album, Being famous is amazing when it's for ur music and talent. I'm tired of being famous for a mistake I made when i was 18. I'm cool & over it!.' Kwa upande wangu bado siamini kuwa mchizi yuko serious, kwani yeye sio wa kwanza kutangaza kuacha muziki na kurudi tena.

0 comments:

Post a Comment