Saturday, August 24, 2013

Kanye West aweka hewani picha ya kwanza ya mtoto wao Tangu azaliwe


Baada ya miezi miwili ya matazamio yetu, hatimaye picha ya kwanza tangu kuzaliwa kwa mtoto North West, imewekwa hewani na baba wa mtoto ambaye ni Kanye West himself. Mtoto North West alizaliwa June 15 mwaka huu, na kwa kipindi hiko chote wazazi hao "Kanye West na Kim Kardashian" hawajawahi kuweka hewani picha ya mtoto wao hadi jana Ijumaa kupitia kipindi cha television cha Kris Jenner's chat show ambapo Kanye West alikuwa na exclusive interview.


0 comments:

Post a Comment