Thursday, August 1, 2013

DJ KHALED ATANGAZA NIA YA KUMUOA NICKI MINAJ,

DJ Khaled ameamua kuweka wazi hisia zake za kimapenzi kwa Bi dada Nicki Minaj kupitia MTV .Mkali huyo amefunguka kuwa anampenda Nicki kwa dhati na analengo la kumuoa kabisa. Khaled alisikika akitamka maneno haya "Nicki Minaj, I'm at MTV, I'm going to be honest with you; I love you,I like you, I want you, I want you to be mine..." Kikubwa ninachoweza kujiuliza ni je, Mchizi yupo realy kwa minaj au propaganda???

0 comments:

Post a Comment