Thursday, August 8, 2013

USHER RAYMOND AFUNGUKA JUU YA AJALI YA MTOTO WAKE

Mkali Usher Raymond amevunja ukimya baada ya kuamua kufunguka juu ya tukio la Mwanae wa miaka 5 la kupata ajali ya kunasa ndani ya swimming pool. Mkali huyo amefunguka kwa kuwashukuru washikaji wawili ambao walifanikisha kumnasua mtoto Usher V kutoka katika pool hiyo.Katika hilo alinukuliwa akisema "I would especially like to thank the two men who saved my son's life, Eugene Stachurski and Ben Crews. They are true heroes and I am deeply grateful to them," Pia amechukua time hiyo kuweza kusema kuwa mtoto kwa sasa yuko poa. Wakati huohuo Demu  wa zamani wa mkali huyo, Tameka Raymond,amemmaindi mchizi juu ya malezi ya watoto wao wawili, bi.dada huyo ameamua kufungua mashtaka akimmaind mwana kwa kutokuwa na muda wa kutosha wa kukaa na watoto kwani muda mwingi hayupo maskani kitu ambacho kina waweka watoto katika hali mbaya kimaadili, dini, afya, elimu na mambo kama hayo.

0 comments:

Post a Comment