Thursday, July 12, 2012

NAOMI CAMPBEL KUDONDOKA TZ KUSAKA VIPAJI VYA UREMBO

Mdada mrembo wa kimataifa kutoka mtoni, Naomi Campbel, anatarajia kutua bongo hivi karibuni kwaajili ya kutafuta vipaji vya ulimbwende.
Naomi atatua bongo kufuatia ziara yake ya Afrika ya kusaka vipaji. Hope itakuwa ni chance nzuri kwa wadada wenye ndoto za kufanya poa katika tasnia hiyo hapa TZ. So itumieni hiyo chance wadada coz najua mabinti wa kibongo ni wakali.

0 comments:

Post a Comment