Wednesday, July 4, 2012

SHILOLE KU- SHOOT VIDEO MPYA,KWETU STUDIO YAHUSIKA

Mdada mwenye vipaji kibao vikiwemo vya muziki na uigizaji Shilole,kufanya  video  ya wimbo wake uitwao VIUNO TUCHEZE ambao amewashirikisha richard mavoko na kitokololo.  .
Video hiyo inatarajiwa kufanywa na studio inayokuja juu katika utengenezaji wa video kali,Kwetu studio iliyopo DSM.


0 comments:

Post a Comment