Wednesday, July 4, 2012

ERIC MRINDIMA,MKALI WA COMEDY, KUJA NA 'MAISHA SAFARI'

Mkali wa Comedy Eric Mrindima,ambaye bado anandoto za kufanya mengi mazuri anatarajia kuachia 'short film' yake iitwayo "Maisha safari". Mpango huo unasimamiwa kwa karibu na Kwetu studio ya Jijini Dsm.
Hizi ni baadhi ya picha zilizopigwa wakati wa harakati za upikaji hiyo kitu.
Hope itakuwa poa, ngoja tuisikilizie.

0 comments:

Post a Comment