Monday, July 16, 2012

VUNJENI BENKI ILI KUMPATA MARIAH CAREY AMERICAN IDOL,ASEMA NICK CANNON

"Kama American Idol inamuhitaji Mariah Carey kuwa mmoja wa majaji  wao ni lazima wavunje benki" hii ni kauli ya Mr. Carey, Nick Cannon akiongelea point ya Mariah carey,mkewe kuwa mmojawapo wa majaji wa American idol msimu ujao kutokana na waliokuwa majaji Jennifer Lopez na Steven Tyler kutangaza kuwa hawatakuwepo kwenye jopo la majaji msimu ujao. Kauli hii ya Nick inatokana na ukweli kuwa American idol imekuwa haina malipo mazuri kwa majaji wake.
Yap, vipi kibongobongo??????/

0 comments:

Post a Comment