Friday, July 6, 2012

KANYE WEST KUACHIA ALBUM MPYA,PRODUCER WAKE AFUNGUKA

Mkali Kanye west,kutoka G.O.O.D Music family anatarajia kuachia album mpya hivi karibuni. Hayo yamebainishwa na Producer wake No I.D alipokuwa akifanya mahojiano na MTV.
Producer huyo amesema kuwa fans wa Kanye wakae tayari kupata album hiyo ikiwa ni kama double dose kwani album yake ya  'summer cruel' bado ipo sokoni.
No I.D amesema wapenzi watarajie vitu bomba.

0 comments:

Post a Comment