Monday, July 2, 2012

JAY-Z,KANYE WEST,BEYONCE WA 'SHINE' TUNZO ZA BET 2012

Tunzo za BET zimefanyika usiku wa jana jumapili ikiwakutanisha wakali kibao wa burudani,lakini kubwa zaidi ni show kali zilizo pigwa na wakali kadhaa wakiwemo kanye west,Nicki minaj,2chainz,Rick Ross na kundi lake la Maybach Music,melanie fiona na wakali wengine kibao.
Katika usiku huu wa tunzo za BET zimekuwa nzuri zaidi kwa Kanye West,Beyonce na Jay-Z kwani wame shine ile mbaya na imefurahisha zaidi pale iliposemekana Mtoto wa Beyonce na Jay-Z aitwaye BlueIvy  carter kuwa amepata toy mpya za kuchezea,’wakimaanisha zile tunzo ndio toys’.
Show iliongozwa vizuri na actor mkali Samuel L. Jackson.

 Soma list ya washindi hapa chini:

Best Group: The Throne (Kanye West & Jay-Z)
Best Actor: Kevin Hart
Best New Artist: Big Sean
Best Male R&B Artist: Chris Brown
Best Collaboration: Wale ft. Miguel
Best Gospel: Yolanda Adams
Best Female R&B Artist: Beyoncé
Best Female Hip-Hop Artist: Nicki Minaj
Lifetime Achievement Award: Maze featuring Frankie Beverly
Video Of The Year: “Otis,” The Throne (Kanye West & Jay-Z)
BET Humanitarian Award: Rev. Al Sharpton
Viewers’ Choice Award: Mindless Behavior
Video Director Of The Year: BeyoncĂ© & Alan Ferguson
AOL Fandemonium Award: Chris Brown

0 comments:

Post a Comment